Dunia ina team?Ni kipa wa dunia.
"Dunia ina team" lugha gongana, Kiswahili + Kimalkia = Ulimbukeni.Dunia ina team?
Nilizani utasema hujaelewa swali kumbe unaleta ujuaji"Dunia ina team" lugha gongana, Kiswahili + Kimalkia = Ulimbukeni.
Ebooo ..hujawahi kusikia kikosi bora cha dunia?Dunia ina team?
Aishi Manula ameridhika na hapo alipoGoalkeeper Bora wa mwaka wa Uefa wa msimu uliopita anayechezea timu ya Chelsea Edouard Mendy na raia wa Senegal ameweka record hii tangu ajiunge na Mabingwa hao wa Ulaya
61 Mechi alizocheza
37 clean sheets alizopata (kwenye hizo mechi alizocheza)
34 magoal aliyoruhusu (kwenye hizo mechi alizocheza )
Katika hayo magoal aliyoruhusu hakuna hata goal 1 alilofungwa kwenye nje ya box
Mafanikio
✓ Kipa Bora wa mwaka wa Uefa.
✓ Ameshinda Uefa champions league
✓ Ameshinda Uefa Super league
Aise ni kweli mkuu history yake ina mapito meng aliwahi kukataliwa hadi na agent wakeUkimfatilia eduardo mendy ndo utajua maana ya usikate tamaaa