Edson Mbogoro mpiganaji wa kweli aliyemwakilisha vema Mnyika katika kesi yake.

Kwa hiyo wakiri wa Mpendazoe na Lema sio vichwa??
 
Jamaa namfahamu vizuri huyu nilipiga naye kazi Songea kipindi flani ni kichwa katika sheria anatishaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!

Natafuta contacts za huyu bwana, kama unazo au kama unajua namna ya kumpata nipm mkuu.
 
Ubunge songea hatausikia kwenye redio,,kapigwa mara ngapi na kitu chenye ncha kali!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…