Jamani naomba kuuliza, hivi Mwl aliyejiendeleza na kusoma Master of Education Management and Planning anaweza kupangiwa kazi gan ktk halmashauri anayofanyia kazi? Au anaendelea kufundisha darasani? Ana miaka 6 kazini, hebu wadau nipen msaada hapa

Ukisubiria kupangiwa utastaafu bado unasubiria. Wanasema elimu pekee siyo sifa ya kupatiwa madaraka. Siku hizi wako wengi tu wanafundisha tena elimu ya Msingi na hiyo MEMP.