Education Management and planning

Education Management and planning

Mwasubi

Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Jamani naomba kuuliza, hivi Mwl aliyejiendeleza na kusoma Master of Education Management and Planning anaweza kupangiwa kazi gan ktk halmashauri anayofanyia kazi? Au anaendelea kufundisha darasani? Ana miaka 6 kazini, hebu wadau nipen msaada hapa
 
Ni Masters ya Education na unaposomea ualimu matarajio ni kufundisha!! Kupata au kufanya kazi ingine ni favor tu

Hiyo specialization ya Management si kigezo cha kubadilishiwa kazi!! Hasa katika idara ya elimu ya nchi hii, nchi ya undugu na kujuana!
 
Ukisubiria kupangiwa utastaafu bado unasubiria. Wanasema elimu pekee siyo sifa ya kupatiwa madaraka. Siku hizi wako wengi tu wanafundisha tena elimu ya Msingi na hiyo MEMP.
 
Back
Top Bottom