Education materials

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Naomba anayejua yanapopatikana "MATERIALS" ya masomo yafuatayo, hasa huku Tanzania (yaani Dar-es-salaam).

Mathematics
Biology
History
Geography
Civics
English
Kiswahili

Yaani past papers zilizokuwa solved, mfano pamphlets kuanzia mwaka 2008 - 2012 na hata vitabu pia.
Nakumbuka enzi zetu tulikuwa tunatumia pamphlets, kwa sasa naona kuna vitabu vingi sana vya namna hiyo.

Nahitaji kama copy 3 tofauti katika kila somo. Kwa maana ya kwamba jumla ya copy ambazo si chini ya 21 (i.e Maths - 3 different copies, Bios - 3 different copies, ......)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…