EDUCATION v/s ENGINEERING

EDUCATION v/s ENGINEERING

majitta one

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
204
Reaction score
14
wakuu napenda kujulishwa kati ya bacholar ya ualimu (MASOMO YA SAYANSI) na uhandisi ni ipi inalipabkatika soko ajira
 
wakuu napenda kujulishwa kati ya bacholar ya ualimu (MASOMO YA SAYANSI) na uhandisi ni ipi inalipabkatika soko ajira
Usisome degree yoyote hapo, labda diploma. Vinginevyo utapigwa disco mapema sana!
 
usisome degree yoyote hapo, labda diploma. Vinginevyo utapigwa disco mapema sana!

kwa nini mkuu.

Mbona kuna watu wanamaliza kwani mimi nina nini.

Tayari nina diploma ya engineering.
 
I would av say engineering but dats accordng to mai real experience, ningekushauri u go for wat u can do n not ipi inalipa
 
Uhandisi wa kada gani? Elezea kwanza tukufafanulie, mbona ualimu umeweka wazi kwamba ni kwa masomo ya sayansi?
 
Back
Top Bottom