majitta one
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 204
- 14
Usisome degree yoyote hapo, labda diploma. Vinginevyo utapigwa disco mapema sana!wakuu napenda kujulishwa kati ya bacholar ya ualimu (MASOMO YA SAYANSI) na uhandisi ni ipi inalipabkatika soko ajira
usisome degree yoyote hapo, labda diploma. Vinginevyo utapigwa disco mapema sana!
kwa nini mkuu.
Mbona kuna watu wanamaliza kwani mimi nina nini.
Tayari nina diploma ya engineering.
kasome bachelor ya engineering.... Achana na bacholar
i would av say engineering but dats accordng to mai real experience, ningekushauri u go for wat u can do n not ipi inalipa
uhandisi wa kada gani? Elezea kwanza tukufafanulie, mbona ualimu umeweka wazi kwamba ni kwa masomo ya sayansi?
real madrid vs mgambo jkt.