Education vs unemployment

Education vs unemployment

MWL MTZ

Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
39
Reaction score
2
Jamani hivi hii elimu yetu hapa Tanzania inaweza kundoa tatizo la hukosefu wa ajira maana kuna vijana kibao wamemaliza vyuo vikuu na wapo tu bila ajira wala shughuli yoyote.wengine wamesoma internation relation, education, statistics, business administration, public administration, law, rural development, tourism nk wapo tuuuuuuu.
sasa hapa tatizo nini
course walizosoma?
perfomance mbovu hivyo kushindwa kushindana kwenye soko la ajira?
sera mbovu ya elimu [theoretical base]?
sera mbovu za serikali kuhusu ajira?
au mazingira mabovu?
Sasa wana jf nini kifanyike? tuendelee kuongeza idadi ya wanafunzi vyuo vikuu bila kuandaa mazingira ya ajira?
 
Back
Top Bottom