Ntangilege
Member
- Aug 4, 2013
- 25
- 3
habarini wapendwa!mwenzenu kuna hili linanitatanisha kuhusu kujiunga na ualimu ngazi ya cheti waliomaliza miaka ya 2004 -2012 kwamba waliokua hawakidhi alama za kujiunga sasa wanaweza kujiunga na kusoma pre course na kufanya mtihani ndani ya mwaka mmoja akifauru anaendelea na ngaz ya cheti kama kawaida.je kuna ukweli juu ya hili naomben msaada wana jf