education

education

Ntangilege

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
25
Reaction score
3
habarini wapendwa!mwenzenu kuna hili linanitatanisha kuhusu kujiunga na ualimu ngazi ya cheti waliomaliza miaka ya 2004 -2012 kwamba waliokua hawakidhi alama za kujiunga sasa wanaweza kujiunga na kusoma pre course na kufanya mtihani ndani ya mwaka mmoja akifauru anaendelea na ngaz ya cheti kama kawaida.je kuna ukweli juu ya hili naomben msaada wana jf
 
Tembelea website ya MOEVT wametoa tangazo na vigezo vya kusomea ualimu...
 
Back
Top Bottom