NUUMA BAKUNYA
Member
- Feb 19, 2013
- 23
- 1
Kwa ujumla mi ninamasikitiko makubwa kwa matokeo ya kidato cha nne ivi inch yet inaelekea wapi kaw nus ya watainiwa wote wamefeli mtihan hao wanafunzi zaid ya laki mbili ambao awajui atima ya maisha yao ivi serikal ailiangalii