Habari mbaya kivipi kwa msimbazi labda utueleze mtoa post,
in short miaka ya sasa ivi katika timu ambayo inaingiza watu chaka na waandishi uchwara kwenye tetesi ni simba usikute tayari simba swala la usajili washamaliza kitambo wanasubir tu muda ufike vyuma vianze kuachiwa mtandaoni. Na kwa sasa akuna mhandishi yeyote anaejua maswala ya usajili ndani ya simba ukiingia kwenye page zao utakuta simba waliipiga bao yanga kumchukua manyama wakati kumbe kasaini Azam.
Simba ni mpaka wapost kwenye official page yao ndio utaamini ila sio sijui kabangu sijui kakole Mara kambogo kasaini, simba unaingia chaka awatangazi mpaka waachie picha ndio uamini.
Ukiuliza ni wapi uliona Edward Manyama kasaini simba utasikia muhandishi flani alipost na sio simba wenyewe.