Edward Charles Manyama kujiunga na Azam FC

Edward Charles Manyama kujiunga na Azam FC

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
habari mbaya kwetu wana simba, damn

3.PNG
 
fanyeni mfanyavyo viongozi tupate beki mrefu na kiungo mkabaji mrefu tumechoka kufungwa aerial balls
 
Habari mbaya kivipi kwa msimbazi labda utueleze mtoa post,

in short miaka ya sasa ivi katika timu ambayo inaingiza watu chaka na waandishi uchwara kwenye tetesi ni simba usikute tayari simba swala la usajili washamaliza kitambo wanasubir tu muda ufike vyuma vianze kuachiwa mtandaoni. Na kwa sasa akuna mhandishi yeyote anaejua maswala ya usajili ndani ya simba ukiingia kwenye page zao utakuta simba waliipiga bao yanga kumchukua manyama wakati kumbe kasaini Azam.

Simba ni mpaka wapost kwenye official page yao ndio utaamini ila sio sijui kabangu sijui kakole Mara kambogo kasaini, simba unaingia chaka awatangazi mpaka waachie picha ndio uamini.

Ukiuliza ni wapi uliona Edward Manyama kasaini simba utasikia muhandishi flani alipost na sio simba wenyewe.
 
Si ulileta wewe habari humu, imekuaje tena au nawe mzee wa shilawadu tu
niliweka neno KAMA NI KWELI which means sikuwa na uhakika ,lakini poa tu ingawa nimesikitika sana kwa kweli ,mimi ni jmshabiki wa mabeki warefu
 
Simba walikuwa wanajisifu kumbe nao wamepigwa 😂
 
Yaaani simba ni club kubwa sana, watu wanaangaika eti simba inamtaka huyu Mara huyu kumbe Hanna kitu wameingizwa chaka, hapo ndo nakumbuka andiko la manara kwamba mashabiki wa simba taarifa sahihi ya simba inapatikana kwenye official page za simba sio kwenye page za hao wanaotafuta followers
 
Back
Top Bottom