Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hilo ni Bomu! Linaloweza Kuwalipukia Wenyewe muda Muafaka ukifika.
Love your nation.Wacha lilipuke tu.
Baada ya uchaguzi tutawaondoa tena ili kuwapa nafasi wenye maduka kufanya biashara ili tupate kodi. Business as usual tena na tena na tena na bado hawashtuki 😂😂😂.Tutawarudisha tu uchaguzi wa 2025 ukikaribia,tutawaambia Serikali imesikia kilio Chao.
Umemaliza vema kabisa, unatengeneza tatizo halafu unakuja na solution ya kihuruma baada ya katimiza azima yako.Baada ya uchaguzi tutawaondoa tena ili kuwapa nafasi wenye maduka kufanya biashara ili tupate kodi. Business as usual tena na tena na tena na bado hawashtuki 😂😂😂.
😪Waende sehemu walizopangiwa kufanya biashara full stop....Chinga yeyote atakayeleta ubishi wamtengue kiuno.
Huko mnakowapanga kunafikika? Masoko yapo?Acha kuchochea tatizo lililopo na badala yake toa ushauri wa namba Bora ya kupata suluhu. Na kumbuka hakuna nchi Duniani iliyoweza kuwaajiri wananchi wake wote!
Na Hawa unaowaona huruma wanaotakiwa kuwa na mbinu za kuhamasisha wateja wa bidhaa zao ili wawafuate watakapopangiwa. Pia wanaotakiwa kulipa Kodi Kwa serikali ndio maana wanapelekwa sehemu moja ili iwe rahisi kulipa Kodi.
Siku nyingine jifunze kuuonyesha upande unaoutetea Kama hapa umejidhihirisha kuwa team Ile iliyoharibu Kila kitu Kwa kulea uozo! Machinga lazima wapangwe ili walipe Kodi Kama wafanyabiashara wengine. Napongeza hatua hii ila wawaboreshee miundombinu.
Unatumia kiungo gani kufikiri?Acha kuchochea tatizo lililopo na badala yake toa ushauri wa namba Bora ya kupata suluhu. Na kumbuka hakuna nchi Duniani iliyoweza kuwaajiri wananchi wake wote!
Na Hawa unaowaona huruma wanaotakiwa kuwa na mbinu za kuhamasisha wateja wa bidhaa zao ili wawafuate watakapopangiwa. Pia wanaotakiwa kulipa Kodi Kwa serikali ndio maana wanapelekwa sehemu moja ili iwe rahisi kulipa Kodi.
Siku nyingine jifunze kuuonyesha upande unaoutetea Kama hapa umejidhihirisha kuwa team Ile iliyoharibu Kila kitu Kwa kulea uozo! Machinga lazima wapangwe ili walipe Kodi Kama wafanyabiashara wengine. Napongeza hatua hii ila wawaboreshee miundombinu.
Mtu mweñye kufikiri sawasawa hawezi kuuliza swali la kiungo kinachotumika kufikiri. Swali lako la pili fungua Uzi wake tukupe darasa la vitu vya kuzingatia unavyotaka kufungwa biashara.Unatumia kiungo gani kufikiri?
Hiv unapotaka kufungua biashara cha kwanza unaangalia nini?
Waulize ccm wenzako hayo maswali na ikikupendeza waulize ni kwanini wamekaa miaka 50+ madarakani lakini wameshindwa kupanga miji na taratibu za sekta binafsi zinavyotakiwa kuwa ili zitozwe Kodi? Kwanini wanaamka Leo?Huko mnakowapanga kunafikika? Masoko yapo?
Wewe mleta mada huna unachojua zaidi ya kusukumwa na siasa za kipuuuzi tu!Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi?
Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna?
Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa.
Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika? Yanafaa kwa soko?
Kuhusu hawa vijana waliojiajiri kupitia umachinga wakipoteza ajira zao, je mtaweza kuwapa ajira mbadala?
Hivi hakuna namna ya kupata suluhu ya kudumu? Maana wanatafuta soko. Je, hakuna namna ya kuwahakikishia soko huko mnakowapeleka?
Alikuwa mbele ya mudaKwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi?