Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Kwa kweli, watu wameshasahau ya Ruge kabla hajazikwa.
Lowassa ana roho mbaya sana na kafanya makusudi ili kupunguza majadiliano mitaani, angetangaza hii siku ambayo hamna tukio lingine ishu ingejadiliwa hadi kwenye masomo ya hisabati shule ya msingi.
Kwa umaarufu Lowasa anamzidi Ruge kwa mbali sana
Huku kijijini watu hata hawajui Ruge ndo nani
 
 
Mstaafu, anahitaji kupumzika na family yake.
Family first, mengineo yatafuata.

Siasa za kipindi hiki hazina urafiki wa kudumu.
 
wanaojua huo wimbo na waliopewa maiki ndio wataanza kuimba, sie wengine tunafuatisha tu.
 
Asalaam aleikum waungwana, kwa wale wenye kumbukumbu ya maneno ya JPM kuwa kila atakae rudi CCM lazima akatwe mkia ili kuwa tofauti na kundi.
Je Edo ana mkia nusu?
Naombeni majibu kwa wenye majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa mbaya Sana!
 
Yaani Jiwe kaamua kuwakomoa wale wote walio mkashifu

In God we Trust
JIWE ana wakati mgumu kuliko anavyofikiria kwani maadaui wake hawapo nje ya ccm

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Marekebisho kidogo, wimbo haukuanza kwa Chadema. Chadema waliitikia tu...wimbo ulianza kwa Kamati ya Mwakyembe ili kumlinda fisadi mkuu wa Richmond Jakaya Kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…