Edward Lowassa na Maalim Seif kuhudhuria mechi ya mpira baina ya Simba na Yanga

Lowasa kawakosea nini jamani..inamaana hana uhuru wa kwenda kuangalia mpira...?? Punguzeni kuogopa jamani[emoji23][emoji23]
 
Ukiona hivyo ndo ujue tumeanza kukomaa kisiasa. Watu wakizuia mlangoni wewe unachungulia dirishani. Kenya ktk hili wako mbele sana. Shughuli yoyote ya inayovuta watu hata iwe msiba basi hapo politiki inapigwa vizuri. Siasa ni pamoja na branding na branding ni pamoja na kuwafanya watu wasikusahau. Walipo uwepo.
 
Kiufupi mtoa mada anamaanisha watakuwepo kwenye UKUTA tarehe 1... hiyo mechi amechomekea tu!!!
 
Kwani vijana wa chadema ndio waandaaji wa mechi hiyo?
 
Nilipanga nisiende uwanjani, lakini baada ya kupata taarifa hii, nabadilisha gia juu kwa juu... Ma prezidaaaa atakua uwanjani.
 
wataundiwa zengwe,siku kadhaa kabla watakamatwa kwasababu uchwara,na kupangiwa tarehe moja iwe siku ya aidha kwenda mahakamani/kuripoti kituo cha polisi..
 
Nilipanga kwenda uwanjani , nimeshaghairi.
 
Lowasa kawakosea nini jamani..inamaana hana uhuru wa kwenda kuangalia mpira...?? Punguzeni kuogopa jamani[emoji23][emoji23]
Kulikuwa na haja ya kitamgaza kuwa wataenda huko??
Huoni wanaweza geuza siki hiyo watu kuichukulia kama ya mikutano ya kisiasa kutokana na influence waliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…