Edward Lowassa na Maalim Seif kuhudhuria mechi ya mpira baina ya Simba na Yanga

Edward Lowassa na Maalim Seif kuhudhuria mechi ya mpira baina ya Simba na Yanga

Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.

Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu
Au ndio maana kuna tetesi kwamba game itaahirishwa ?
 
Eti hiyo ndio habari kuu iliyobeba kichwa cha Habari Duuh!!
 
IMG_20160917_120745.jpg
IMG_20160917_120745.jpg
Mwenyekiti wao aliutangazia Umma kuwa tarehe 1 October ni siku ya Mikutano na Maandamano ya UKUTA nchi nzima.

Leo gazeti la chama linasema kuwa tarehe hiyo wabunge wa chama hicho na mgombea wao wa Urais ndugu Lowasa watakuwa uwanja wa Taifa wakiangalia mechi ya Simba na Yanga. Je huo mkutano ambao wao watashiriki ni upi?

Chadema utani wenu mzuri kweli.
 
Naona wameona wamesaulika maigizo yameanza mapema
Utasikia watu wan nunulia tiketi Bure
Sababu nimjuavyo manvi haezi kukaa dk 15 bila kusinzia sasa huo mpira atauona SAA ngapi?
 
Wakubwa,
Siku ya Mechi ya Watani wa Jadi,Uwanja wa Taifa Unategemea Kupata Ujio wa Mwanasiasa Aliyeaminiwa Watanzania Kwa Kupata Kura Millioni 6 Katika Uchaguzi wa Mwaka Jana!
Katika Msafara Wake,Ataongozana na Viongozi Wenza wa Ukawa na Wabunge Watokanao na Vyama Vinne vya Ukawa!
Najua Wengi Mngependa Kujua Nguli Huyu Anashabikia Timu Ipi Kati ya Hizi Mbili!
Majibu ya Maswali Hayo Yatapata Majibu Siku Hiyo Ya Mtanange Huu Kabambe!
Tegemea Mengi Kutokea As We Count Down to This Massive Encounter!
Soure:Tanzania Daima
 
Msichanganye mpira na siasa,mtaharibikiwa.Kuna watu ni Yanga wanashabikia Upinzani na kuna watu ni yanga wako pia ccm sasa mkileta haya mambo huku hata simba itagawanyika na tutapoteza umoja katika timu zetu ambao ni tunu tofauti na unafiki wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom