Eti wewe nawe unajiita Great Thinker, duh kazi tunayo!
Prezidaaa my......Nilipanga nisiende uwanjani, lakini baada ya kupata taarifa hii, nabadilisha gia juu kwa juu... Ma prezidaaaa atakua uwanjani.
Au ndio maana kuna tetesi kwamba game itaahirishwa ?Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.
Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja wa Taifa Tarehe 1/10/2016. Lowassa amekubali Ombi hilo na ataambatana na viongozi mbalimbali ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu
UKUTA lini tena??Mechi itajaa watu sana hiyo
Iahairishwe kwa Sababu ya Lowasa?dahAu ndio maana kuna tetesi kwamba game itaahirishwa ?
Mbona Mnawaiga Ukawa?Hakuna Mechi Zingine?Na penye JPM, siku hiyo Nchemba nae ndani na nape kama waziri wa michezo ndani ya dimba.
Shule nayo inasaidia sanawameishiwa hao!! watawanunulia tiketi mashabiki ili 2020 wawapigie kura?hahahaaaaaaaa
Hakuna siasa hapoPana nini hapa?
Leo ndiyo nasikia umaarufu wa kisiasa unatafutwa uwanja wa mpira!!!!!!
Jibu la kibabe sana hahahahahahaSi kama zile za kuwajali na kuwa na uchungu sana na wanyonge wa Nchi hii.
SIASA ZA MAIGIZO NA MBWEMBWE ZIMEANZA MAPEMA. MIMI NIKONAJIANDAA KUDEKI BARABARA NA UWANJA MZIMA. HALAFU NA KUZUNGUSHA MIKONOOOO