Edward Lowassa na Maalim Seif kuhudhuria mechi ya mpira baina ya Simba na Yanga

Hiv huyu mtu kawakosea nini waTz?!
Kila akitangaza kufanya jambo, nchi nzima inashake!!
Mbona akina fulani wakitangaza kuhudhuria matukio fulani fulani watu hawadati kiasi hiki?!

Au anaogopwa?!!
Au ndo tuseme ni maarufu sana?!!
Au ni mti wenye matunda usioisha kupigwa mawe?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…