yaani eti wanataka kusujudiwa, kuogopwa na kupigiwa magoti !!Hao ndio Makomredi sio hawa wapigaji wa leo ambao kazi yao ni kugombana na Ma CAG.
SureHao ndio Makomredi sio hawa wapigaji wa leo ambao kazi yao ni kugombana na Ma CAG.
Kweli aseeMambo mengi sana kwa muda mfupi huu, yaani twashindwa hata tu stick kwenye lipi kwa sababu tu ya uninga wa baadhi ya wale tuliowapa madaraka ya kutuongoza...
Wahujumu uchumi wa wakati huo hawamsahau huyu jamaa..japo ile vita ilingia dosari baada ya baadhi ya watu kuitumia kwa maslahi binafsi ya kukomoana na kulipa visasiLeo hii ni kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania na kipenzi cha watanzania mh Edward Moringe Sokoine kilichotokea 12.04.1984...
Tulishafikishwa hali mbaya sana.Wahujumu uchumi wa wakati huo hawamsahau huyu jamaa..japo ile vita ilingia dosari baada ya baadhi ya watu kuitumia kwa maslahi binafsi ya kukomoana na kulipa visasi
Mkuu mimi kama mtanzania mzareeendo nina mkumbuka huyu mzee wetu Sokoine alivyokuwa anayashughulikia mateso yetu bila ya kujitangaza kupitia rtd wala uhuru na mzareendo kipindi kile.Mtoa hoja bado tunaomboleza msiba huu mpya, huo wa zamani tuuache kwanza - Mwendazake kaenda zake kwa ghafla sana jamani !!
Maduka ya RTCTulishafikishwa hali mbaya sana.
Kula wali ilikuwa hadi utoke jasho kwa kuyakimbiza magari ya ugawaji
Leo hii ni kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania na kipenzi cha watanzania mh Edward Moringe Sokoine kilichotokea 12.04.1984.
Marehemu alipata ajali ya gari akiwa njiani kutokea Dodoma kuelekea Dar Es salaam ambapo alikuwa ameahirisha kikao cha bunge.
Watanzania tunazidi kumuombea pumziko la milele huko aliko.View attachment 1750133
Thu 12 April 1984 | Sokoine's Death | |
Thu 14 October 1999 | Nyerere's Death | |
Fri 24 July 2020 | Mkapa's Death | |
Wed 17 March 2021 | Magufuli's Death |
Kipindi kile nilikuwa nakaa Mtoni tulikuwa tunahudumiwa na canter moja imeandikwa TUPA TUPA KUPATA KUNA MUNGU ya ugawaji hiyo.Maduka ya RTC
Tulikuwa tunaamka saa 12 kuwahi foleniKipindi kile nilikuwa nakaa Mtoni tulikuwa tunahudumiwa na canter moja imeandikwa TUPA TUPA KUPATA KUNA MUNGU ya ugawaji hiyo.
Ukitaka kula wali kitumbo uwe tayari kulikimbiza gari likisimama dukani usimame foreni ili upate huduma.
Hapo kwa Mo umechemka maana siyo the 2nd nadhani yupo nafasi ya 13 baada ya mwana south Afrika kushika nafasi ya 12Jina la Sokoine linanikumbusha jinsi Maisha yalivyokuwa magumu zama zile,tena ilikuwa mara baada ya Vita Vya Uganda, kisha ikaingia hali ngumu ya uchumi Tanzania...