battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
Nimekiri makosa, nilikusudia 12 lakini kalamu ya muandishi ilisahau namba moja 👍Hapo kwa Mo umechemka maana siyo the 2nd nadhani yupo nafasi ya 13 baada ya mwana south Afrika kushika nafasi ya 12