Edward Ngoyai Lowassa ana nyota kali

Mamvi anachukua nchi saa 4 asbh ✌️✌
 
Lowassa....

Mungu ambarik maisha marefu mnoo.......

My first born ataitwa lowassa
 

Kwa binadamu wasio na Mungu kuna nyota. "Ndimi ni Bwana Mungu wako usiabudu kiumbe chochote chini ya jua". Kisha unatuletea habari za nyota? We vipi.
 

Ndivyo walivyo ma free masons.
 
Matumaini trans mnaendeleaje na safari yenu?
 
4 sure ana mvuto wa kuwa rais..penda sana yeye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…