Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jipeni moyo ivyo ivyo. IKULU NI YA MAGUFULI POMBEEE. Na kufuli tutalifunga
Mamvi anachukua nchi saa 4 asbh ✌️✌
Nimeamini Lowassa ni chaguo la Mungu,yaan kila napopita ni Lowassa tu aiseee hakuna nani wala nanii wote kafunikaa,ni mtu anaeongozwa kusemwa sana kwenye vyombo vya habari kama tv,magazeti,radio .vyoye ni Lowassa tu hakika ni Raisi anaetarajiwa na watanzania wote yaan Vipaumbele vyake ni Elimu,Elimu bure ,vivukio bureee hakuna kuogelea wala kupiga mbizi tenaa,japo tume ya uchaguzi ni ya ccm Lowassa ataingia ikulu kiulaini kama ananawa
Waogope sana watu waonbao kura kwa makeke mengi kama chenga za Messi
Tuyakubali mabadiliko,tusiupende umasikinii ,umasikini ni dhambi sio sifa,Tumpigie kura za mafuriko Lowassa
Tunakupenda Lowassa na tunataka mabadiliko
Kwa binadamu wasio na Mungu kuna nyota. "Ndimi ni Bwana Mungu wako usiabudu kiumbe chochote chini ya jua". Kisha unatuletea habari za nyota? We vipi.
Nyota ndio Mungu wako?