Edward Ngoyai Lowassa

Japo siasa hasa za nchi yetu msingi wake mkuu ni unafiki(yawezekana Mh Lowassa alihusika na tuhuma zile) lakini hotuba yake ilikua nzito na yenye mpangilio haswa,bunge lilitulia sana kusikiliza sauti iliyobeba taswira ya kiongozi shupavu.
 
Sasa sijiona hoja ya kujibu kutoka kwako kwasababu mwaka 2015 akina mbowe na wenzake waliuza vyama vyao mbele ya macho ya Kila mtanzania
kiuhalisia kwa 2015 Lowasa ndio ilikua dira sahihi yawatz yaani hata wapinzani waliona maono makubwa yaliyomo ndani yake wananchi walimkubali na haitakuja tokea mtu atakaye kubalika angalau nusu yake kiukweli huyu mwamba angechukua nchi ingekua namuelekeo sahihi kabisa kimaendeleo kwa maana nimtu mwenye uthubutu na muwazi
Mungu mjaalie afya njema

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mawaziri wakuu wengine wanaoshikilia rekodi hapa Tanzania ni wawili. Hawa waliwahi kuhudumu kwenye nafasi hiyo kwenye vipindi viwili tofauti; na mmojawapoaliwahi kuhudmu kwenye awamu mbili
Cleopa Davis Msuya alihudumu kwenye kipindi cha karibu na mwisho cha Nyerere, 1980-1983
Alihudumu pia kwenye kipindi cha mwisho cha Rais Mwinyi 1994-1995

Hayati Edward Moringe sokoine alihudumu kwenye vipindi viwili tofauti wakati wa Nyerere
These people were /must be very smart

Source: List of prime ministers of Tanzania - Wikipedia
 
Siyo kweli, ilikuwa ni Mkapa (RIP) fedha zilitoka baada ya Tanzania kusamehewa madeni, Shule za Kata na Zahanati zote ni kazi ya Mkapa, Kikwete alijenga udom , …
Mnaangaika kwa chuki dhidi ya Jakaya angalia mnavyoweweseka mara Lowassa mara Mkapa,wajinga sana.
 
Kwa sababu ya chuki dhidi ya Kikwete hadi miradi yote aliyoiacha ikiendelea kutekelezwa tuliambiwa ni miradi ya Magufuli! Nchi imejaa wajinga wengi sana.
 
Nyuzi za Lowassa mbona nyingi
Because he is costing us billions in tax money laying limp in a Johannesburg exorbitant hospital.

At some point you wish the family would have a patriotic sense to simply pull the plug and allow the country to have some measure of closure and peace from the decades long demons of Lowassa.

Why he won't foot the balooning medical bill himself is painfully puzzling. Quite hard to imagine that he has depleted all the ill-gotten gazzilions of shillings he amassed from his high flying government positions.
 
Because he is costing us billions in tax money laying limp in a Johannesburg exorbitant hospital.[emoji3064]
 
Because he is costing us billions in tax money laying limp in a Johannesburg exorbitant hospital.[emoji3064]Kwa sababu anatugharimu mabilioni ya pesa za ushuru akiwa amelegea katika hospitali kuu ya Johannesburg.
 
Alijiuzuru ili kuwajibika Kama mtendaji mkuu wa shughuli za serikali na sio alilazimishwa kujiuzuru...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…