Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Well said bro.Unapozungumzia uchafu,hujuma dhidi ya binadamu,uhuni,wizi,rushwa,udukuzi,propaganda chafu na udhalimu wa kila namna hapa duniani;kinara ni Marekani.Huo ndio ukweli.Adolf Hitler na Bin Laden vifo vyao utata mtupu,John F. Kennedy na ndugu zake vifo vyao ni utata tupu,WHO inanyooshewa kidole kwa 'kupika' magonjwa maabara,taasisi mumiani za Brettonwoods zipo Marekani n.k.
 
Tudumishe amani na upendo ugaidi ni unaletwa na hawa hawa us, ona sasa​
 

Attachments

  • IMG_8885.JPG
    43.2 KB · Views: 96
Ukweli ambao umekua ukipingwa mara zote Marekani ni vinara wa kutuaminisha wanayotaka wao nasi bila ya kujiuliza tumekuwa watu wakukubali taarifa zote za wamarekani taifa namba moja kwa propaganda duniani ambalo wakiamua kuwaaminisha watu kuwa taifa flani adui au mtu flani adui kwao ni kazi rahisi sana hata kama si kweli.
 
[emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji89]
 
``Feb 2009 snowden aliamua kujiuzuru kuwa agent wa C.I.A tayar akiwa na siri nyingi sana za ndan"
swali la kujiulza how comes mtu anayeyajua mambo ya ndan ya marekan akajiuzuru kirahcrahc tu na wakamwacha aende akajiunge na makampun kama Dell wamuache tu na marekan walvowakorof vle kama Tz tu mtu wa usalama akzngua tu tutamtafuta kwa nguvu zte
Bado hainingii akln huenda kuna jambo nyuma ya pazia jamaa kwnd Urusi.
 
Kwahiyo
Snow den amehukumiwa kifungo gani..???
Pia ya faa huyu jamaa wa msamehe ili wa Marekani wa mtumie
 
Habari imekaa vizuri Ina mashiko na vipi tujifunze kuepuana na kadhia ka ya Snowden
 
osama was short dead by the Seal,,,hilo siyo la kubishana!! Story nyingine zinabaki kuwa conspiracy ,,, ...anachofanya Snowden ni kujitafutia usalama ila dhamiri inamsuta kwa usaliti wa kiwango cha juu kwa tsifa lake!
 
Mkuu unaweza kuongeza ongeza nyama haswa kuhusu siri alizovujisha huyu jamaa
 
Salute Kwako mkuu kwa pin languvu la kutuelimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…