Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Story nzuri ila kama unamua kuandika english andka au kiswahil andka ila ukichanganya kwa kuandika english kisha kutafsiri chini unamalza tu space wkt ungeandka kwa lugha moja tukaendelea na story
 
Umewaza sana
 
Mbona hawajatuambia
 
Kweli mkuu unaweza kuta yupo kazini kuwachunguza warussia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CIA wameamua kuachana na huyu jamaa au bado wanamlia timing? Muda umeenda sisikii update yoyote inayomuhusu
 

Nikiwaga nasoma nyuzi kama hizi ambazo upatikanaji wa taarifa kuhusiana nazo hua sio mgumu sana kama taarifa za kwetu hua napenda kufanya “fact-checking” wakati nikiendelea kusoma, sasa nilivyoona umemuandika James Woolsey kama director wa CIA mwaka 2013 na kwasababu nakumbuka kumbuka majina kama Leon Panetta na somebody Brennan wakihusiana na CIA kwa kipindi hiko nikaona nigugo kupata uhakika. Nilivyokuta huyu Woolsey alikua director miaka ya tisini na kitu huko na wewe umemtaja kuelezea stori za 2013 nimejikuta tu uzi wote nauona kama chai fulani tuu [emoji477]️[emoji477]️[emoji477]️


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo vizuri.
Ukipost mkuu naomba nitag
 
Mkuu nikupe eko kwa makala nzuri,maana ni uhujumu uchumi na nguvu za watu kama ninyi kupita hapa kimya.
Lakin bado kuna watu wakishikwa na miemko yao hukiri tanzania hakuna ma geniaz et wote n viaz,kwan JF ipo nchi gan wajamen ili tulete baadh ya wa tz wanaodhalilisha taifa wapate semina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…