Kuruka ruka kwa maharage kunako chungu ndiyo kuiva kwake.Mlijiita viziwi sasa ni muda wa kujiita wasikivu.Mungu endelea kubariki huu ukombozi ulio anzaa ndani ya taifa lililo chini ya wakoloni weusi wa enzi hizi!Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi.
Jf naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
Nao wanajiita usalma wa Anko T na pozi poziKuruka ruka kwa maharage kunako chungu ndiyo kuiva kwake.Mlijiita viziwi sasa ni muda wa kujiita wasikivu.Mungu endelea kubariki huu ukombozi ulio anzaa ndani ya taifa lililo chini ya wakoloni weusi wa enzi hizi!
Acha hizo yule mdada mbona mwepesi tu kumfanyia ishu muhimu kujua location yake na kumlipa mtu kwa drive by tu.Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi.
Jf naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
Duh wapuuzi wa ccm wanipe jiko kwani mimi msukule wao?. Nasubiria Tesha achukuwe nchi halafu Tundu Lissu atoke tuweke nchi sawa.HATA JIKO LA GESI LA MKEO UNAPEWA NA CCM