Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Huyu Edwin odemba ana mapungufu upstairs, mwanaume gani unalia hadharani?
Halafu inaonekana alitaka kuwazoea zoea sana viongozi, hana elimu wala uwezo wa kumhoji hata mwenyekiti wa mtaa wa CCM anawezaje akaongoza mdahalo na Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi, chama cha Nyerere?
Ana elimu kiasi gani au kupuyanga tu.
Pia soma: Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!