Edwin Odemba kilichomliza ni nini sasa kama sio ujinga na utoto? Mwanaume gani unalia hadharani?

Hiyo ni defence mechanism, baada ya kuona wamewa disappointe watu licha ya matangazo lukuki waliyo yatoa hapo nyuma sasa Ili pate public sympathy lazima ajibaraguze Kwa kufanya vile by the way wala yale machozi sio cha moyoni.
 
Tiari kurujuani imeanza kufanya kazi na bado
 
Hapo mtu kaweka wadhamini wa kipindi afu wanasisa wamehepa.

Nchimbi sio cresible kabisaaa
 
Huyu odemba angepelekewa moto kama wa Mkuu wa Wilaya pale Busega angepiga yoweee mwanaumee unaliaje
Hakulia, bali alibubujikwa na machozi, japo hatujui ni machozi ya furaha au huzuni, huyu Lucas Mwashambwa anaweza kutusaidia maana yeye ndiye bingwa wa kuona watu wakibubujikwa na machozi na kujua ni ya furaha ama huzuni.
 
Star Tv imefilisika mkurugenzi akamwambia yeye hana hela ya kuandaa ukumbi kwaajili ya huo mdahalo, Odemba akasema yeye anaenda kukopa hela kwahiyo atalipia maandalizi yote ya ukumbi
Kwahiyo lazima alie
 
Sasa nini kilimliza?
Nilikuwa simuelewi kabisa, nimezidi kutokumuelewa!!

Au ni plan, nimemskia alivyoanza kusema hizo sababu za hao wengine kutoshiriki huo mdahalo.
Huo mpangilio wake haujakaa sawa
 
Hajui kama mfumo wa ccm, huwa ni wa kiutendaji zaidi na hautegemei issue za malumbano ya kimidahalo, ccm mean work!, aiulize ccm, wapi hakuna shule, wapi hapana umeme, kwanini barabara pale haujafika n. k.
nchi zilizoendelea, wenzetu hawakwepi hiki kitu. Is not about utendaji, kama utendaji hauna shaka basi inakuwa haina shida kuuelezea au kujibu maswali, mbona ni rahisi sana?
 
Hivi amesoma hadi Chuo kikuu na bado analia kwasababu za kitoto hivyo?

Huko Chuo kikuu alifundishwa nini?
 
Kipindi wazee wengine waliuza Ng'ombe ili kuwapeleka watoto zao shule, Wazee wako wao wakafanya kinyume, Wao waliuza Ng'ombe ili kuipeleka shule Ng'ombe nyingine.
 
Hiyo ni defence mechanism, baada ya kuona wamewa disappointe watu licha ya matangazo lukuki waliyo yatoa hapo nyuma sasa Ili pate public sympathy lazima ajibaraguze Kwa kufanya vile by the way wala yale machozi sio cha moyoni.
Kujichoresha tu!
 
yawezekana nchimbi alimpigia simu kumuhakikishia atakuwepo na kuwagalagaza kina mnyika mpaka dakika za mwisho kabisa 😂
 
Chicago karibu Kila mtu ana bunduki au bastola zaidi ya moja hapa Dar Kuna ngapi Mimi na umri wangu sijawahi kushika bunduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…