Eee Mola uipe ushindi mkubwa Al Ahly dhidi ya Simba

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Wape ushindi wale wanaokuabudu kwa dhati ya Moyoni. Na wanyime wale wanafanya ushirikina ili washindi. Eee Mola iwapo kuna mwana Simba yeyote atakayeshirikiana na waganga na washirikina basi iadhibu timu yao ifungwe goli 5.

Pia nakuomba usiwape ushindi Simba kwa kuwa wamejaa dhihaka na majivuno. Wamejaa viburi na ghilbu.

Eee Mola nakuomba unisikie .

Na tuseme Aaaamina
 
mungu anayesikiliza maombi ya footbal ni mungu wa fifa tuu na sio wa mbinguniπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜
 
Simba 4 - 1 Al Ahly (Agg 5-4)
Yanga 2 - 1 Mamelod (Agg 2 - 5)

Chukua hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…