BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
napita sijui nitarudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babuu blessed ALREADY BOOCKEDdada nivea nilikuwa nataka kukupropose duhhh we auja ona nilivyo shangaaaaaaaa
hii ni sala yangu ya kila siku kwa Mungu ,ampe maisha marefu na ulinzi utoao kwake aweze kuzishinda tamaa za huu ulimwengu kwani akianguka na mimi nitaanguka,sijui kama yeye nae huniombea ila mimi nafanya hivyo kama wajibu wangu kumwombea yeyena familia yote na vitu vingine ila for the start naanza nayeye.
swali???
je wenzangu munawaombea waume zenu?
je na nyie wanaume munawaombea wake zenu?
busara na hekima inahitajika nawakilisha.
bora wewe dada nivea umekuwa muwazi kuliko huyu mtoto Smile yaaaaan aeleweeeeki ngojea niamishie majeshi kwakeBabuu blessed ALREADY BOOCKED