Eee mungu nisaidie

jamanii pole mamiii..jiuguze moyo utulie,uendelee,utampata mwingine
 

shukrani mamito, kuna watu wanahitaji kusikia maneno kama haya! barikiwa mpaka ushangae!
 
Kila anaekuja hapa tulipanga mambo mengi! Jamani sio kila uhusiano utafika ndoa
 
pole darl
everything happens for a reason

mapenzi hayanaga baunsa hasa ukipenda kiukweli

ila worry out,hili nalo litapita

Nafikiri hili neno worry out siyo Sawa ni worry not,
 

Aisee wimbo mzuri huu .Kweli dada unakipaji kizuri cha kutunga wimbo .Mbona hujaweka chorous
 
Upendo ambao haujawahi kupendwa ni ule unaopendwa na Mungu, ukifuatia na unaojipenda mwenyewe. Pick up your pieces, sasa una uzoefu na akili zaidi.
 
Kuendekeza tu. Jipende kwanza, hao wengine wape nafasi ya pili. Afu kwani huyu ndo wa kwanza?
 
kwanini wanaume mnakuwa hivi?!..au mkishajua mmependwa basi aah!
 
Usiumie sana ni sehemu ya maisha muhimu angalia mbele kuna kitu mungu alikuandalia kwa ajili yako so kama hcho kimepita mshukuru mungu kwa kukuepushia balaa mapema wako yupo njian kuja!
 
Niruhusu nikupende zaidi yake hakika utamsahau tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…