Am telling you keep my words...
they were not meant for each other
Sidhani kama mama yake watu8 ni mama yangu.
Mungu ndo alikuruhusu kufanya huo ushetani wako hadi leo unamlilia? Au unatafuta laana ny...mb...aaa...ff...Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.
Kuna mmoja kajitupa ghorofani akafa!Kazi kwako naww fanya maamuzi magumu tu!
Pole sana mamaEee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.
Duh.... Kila siku kutendwa!!!
Heri niwe pekeangu....
Makubwa na wewe toka lini?Ulifanya nini kwani mpaka ukapigwa ba.......!pole sana mamy
songa mbele jua wewe wadhamani sana na mzuri
kama hajaona umuhimu wako wapo watakaouona
Makubwa na wewe toka lini?Ulifanya nini kwani mpaka ukapigwa ba.......!