Eee mungu nisaidie

Eee mungu nisaidie

Mapenzi ni nyo*k* sana,,hayana dhamana,bora upende pesa tu mamaaaaaaae
 
pole sana mamy

songa mbele jua wewe wadhamani sana na mzuri

kama hajaona umuhimu wako wapo watakaouona
 
Angalia mbele, fungua ukurasa mpya, yatapita tu
 
maisha yanaendelea aiseee angalia mbele
 
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.
Mungu ndo alikuruhusu kufanya huo ushetani wako hadi leo unamlilia? Au unatafuta laana ny...mb...aaa...ff...
 
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.
Pole sana mama
 
Inuka endelea na safari labda utakutana na alieumbwa kwa ajili yako.
 
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.

Umsahau Mungu tena!!?!
 
Back
Top Bottom