Eee Mwenyezi Mungu utusamehe na kuturehemu

Watajua wenyewe wanaolea malezi hayo Ila wapo ambao wanalelewa kidini bado machoko pia maana haya mambo hayanaga formula!
Hapana Rey, hapa sizungumzii habari za UDINI.

Hapa nazungumzia UANAUME au UANAMKE.
Kuna tabia za Kimalezi zinaathiri sana ukuaji wa kijinsia wa mtoto !!!.



Moja Wapo. ni malezi ya Singo mama, Singo mama anampenda mnoo mtoto wake kiasi kwamba ANAJISAHAU MPAKA KULEA.


Hawa mnaowaita Mashoga, ni kizazi cha 1998+ ......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu cna lol.
 
Ukute hapo umasikini na maradhi vimekulemea ila kutwa kuanzisha nyuzi za kipuuzi na kuacha kupambana na matatizo halisi yanayokukabili wewe binafsi na ukoo wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Khaaaah
 
Ukiona dafu limeliwa, ujue yupo aliyelichokoa...

Hizi mambo za kichoko zinatiwa kasi kwa kiasi kikubwa na wanaume wenyewe, kwa sababu kuna mabasha wanaowachokoa hao machoko...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, uwiiiiih
 
Uongo mtupu huu, sio kila shoga katoka au kapitia mtindo wa maisha haya,
Na pia mtoto wa kiume anaweza pitia hayo maisha na asiwe shoga kabisaa.
 
Yaani chief kuna nondo umegusia hapa juu ya malezi naona kabisa kuna ukweli....hasa hao single mama wanao lea watoto wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…