Ila kuna vitu vingine vya kipuuzi kweli,afadhali mwenzangu umeukiza hilo,toka lini clouds akawa na satellite!?
Dstv mwenyewe hana atumia ya watu eultesat.
Watanzania tumejawa na wivu,majungu,ufisadi,roho mbaya .
Yaani hizo ndo sifa zetu.
Ndo maana wengi tunaendelea kuwa malofa wa kutupwa,badala ya kufikiri ufanye nini ili utoboe kimaisha watu tumekalia kuwafuatilia maisha ya wengine tu na kuwaonea wivu na kubisha ya kwamba shughuli au biashara wanazofanya siyo za kwao.
Poor tanzanias.
Hongera sana sana mondi