FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wanafikiri kurusha satellite ni kama unarusha kishada angani..Ila kuna vitu vingine vya kipuuzi kweli,afadhali mwenzangu umeukiza hilo,toka lini clouds akawa na satellite!?
Dstv mwenyewe hana atumia ya watu eultesat.