Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Wakuu salaam,
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora.
Inawezekanaje hii.
Hii ni hujumaaa.
Euro irudiwe irudiwe irudiwe
Tazama kikosi bora cha mashindano katika picha hii chini.
Hebu na wewe tia neno mdau.