Nnadhani waliangalia zile timu ambazo zilivuka mzunguko wa pili,maana hata Patrik Schick hayumo sababu hio.Wakuu salaam,
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora.
Inawezekanaje hii.
Hii ni hujumaaa.
Euro irudiwe irudiwe irudiwe
Tazama kikosi bora cha mashindano katika picha hii chini.
View attachment 1851558
Hebu na wewe tia neno mdau.
Chanzo changu ambacho ni SofaScore kinaonesha hivi.Wakuu salaam,
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora.
Inawezekanaje hii.
Hii ni hujumaaa.
Euro irudiwe irudiwe irudiwe
Tazama kikosi bora cha mashindano katika picha hii chini.
View attachment 1851558
Hebu na wewe tia neno mdau.
Hiki ndio chanzo ninachokiamini zaidi, case closedChanzo changu ambacho ni SofaScore kinaonesha hivi.
Ngoja niendelee kuangalia vyanzo vingine nione yaliyomoView attachment 1851583
Naunga hojaNashauri waliobaki waunde kikosi halafu ipigwe mechi
Naunga mkono hoja! Yaani Magwaya huyu huyu!!!Maguire mbele ya chielini??
Hiki kikosi kitakufa mapema sanaNashauri waliobaki waunde kikosi halafu ipigwe mechi
Boss, hicho chako ni kikosi cha wiki na mtoa mada anazungumzia kikosi cha jumla shindano lote.Chanzo changu ambacho ni SofaScore kinaonesha hivi.
Ngoja niendelee kuangalia vyanzo vingine nione yaliyomoView attachment 1851583
Ronaldo ame Prove kwa zaidi ya miaka kumi uwezo wake wa kufumania nyavu kwa kufunga magoli 25+ kwa kila msimuSchick ni Bora kuliko lukaku na Ronaldo
Kwa kweli ni kumkosea heshima GRANDE CHIELLINIMaguire mbele ya chielini??