Eeh kumepooza humu ndani ..Kulikoni?

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
 
Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
....Haa! haa! Haaaaaa, acha fujo wakwetu watu bado wanavuta kasi huenda jua likisogea sogea wapwa wataanza kufanya vitu vyao. Mi huku niliko leo kuna manyunyu basi natamani angalau ningekuwa nameguamegua. Hata hivyo karibu...
 
Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ??
mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???

sijui ni go slow ama? hata mie nimepitia nikaona kuna kitu..... wengine hatunwyi chai kabla ya kuamkuana JF....ahahhahah
 
sijui ni go slow ama? hata mie nimepitia nikaona kuna kitu..... wengine hatunwyi chai kabla ya kuamkuana JF....ahahhahah

Afu na wewe mbona leo hujanijulia hali? Nihesabu?
 
Changamsha jamvi bidada..

hahaha mie hata sijui nianzie wapi ? ila hawa mabinamu wengine nadhani bado wako chawote baa weekend inaendelea
wengine hang over za soda
wengine sijui walipata kibano weekend sipati majibu kabisa
 
2010 2ko kikazi zaidi .
You said it all dear!
 
hahaha mie hata sijui nianzie wapi ? ila hawa mabinamu wengine nadhani bado wako chawote baa weekend inaendelea
wengine hang over za soda
wengine sijui walipata kibano weekend sipati majibu kabisa
Mi nilijipendekeza jana nikaenda church. Nilijisahau kuwa nina aleji ya sakramenti! Lol! Pepo lilivotoka mpaka sasa niko hoi!
 
Kabaridi kidogo kamepoozesha wapwazz endi binamuz
 
Yapi tena hayo??????
We unajua kabisa kuwa idara ya fedha iko chini yangu, imekuwaje tena ukakamata uhazini kwenye projekti ya makambako?
 
MMMM husihesabu..... za tangu juzi my darling sweetpie???? pumpkin honeybunch???? ah! haya hutaweza?

Sore, nimesahau miwani yangu, ngoja nikaichukue nije kusoma vizuri!
 
nimefurahi sana na mmekula senksi yangu marafiki zangu wooooote!
WAPWAAZ IMARA!
WAMWAAZ NI MHIMILI WA CENCRETE GRADE 40
 
nimefurahi sana na mmekula senksi yangu marafiki zangu wooooote!
WAPWAAZ IMARA!
WAMWAAZ NI MHIMILI WA CENCRETE GRADE 40

Afu na wewe hako kabox kako ka Senksi hakaishagi Senksi?
 
We unajua kabisa kuwa idara ya fedha iko chini yangu, imekuwaje tena ukakamata uhazini kwenye projekti ya makambako?

Muulize binamu Kaizer yeye ndo alidelegate hilo suala nikurudishie uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…