Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Fanya mpango umdaie rejesho moja ndugu Mungu atakulipaHabari za jioni ndugu zangu wapendwa.
Ni jioni ya machungu Kwa jirani yangu muda huu anapokonywa vitanda makochi na kila kitu Kwa kushindwa marejesho ya maliyeshindwa mwezi mmoja tu.
Mvua inanyesha muda huu watoto wake wanalia huku wanadamu wenye kujali pesa wakikunja sura bila huruma wakimtesa mwanadamu mwenzao aliyeshis
Eeh mungu baba muumba wa vitu vyote shusha gharika Kwa watu wako ameen.[emoji120]
Tuelimishane basiSiku tukitambua dhana halisi ya mkataba!tutakuwa mbali na mateso mengi.
Usithubutu kuahirisha tatizo kwa kutengeneza tatizo,huenda la kwanza ni dogo kuliko lijalo.Fikiri kabla ya kuweka sahihi makubaliano yoyote.Tuelimishane basi
Kutumia DAWA wakati wa kumtongoza demu DAWA ikiisha atakuandama wakopeshaji wengi hufanya kiini macho ukubaliane kirahisi bila kuhojiKwani si alikopa na akakubali kulipa kwa wakati na alikua anafahamu asipolipa nini kitamkuta??
Kutumia DAWA wakati wa kumtongoza demu DAWA ikiisha atakuandama wakopeshaji wengi hufanya kiini macho ukubaliane kirahisi bila kuhoji
wengine wanakufuata hahaaaah wapi!! kwani wao ndio wanakufuata uwakope au unaenda mwenyewe???
[emoji28] [emoji28] [emoji28] alipe deni la watu kukopa kachukua kimya kimya kulipa anamshitakia Munguwengine wanakufuata haha
ndo umsaidie kidogo watanzania sote ni ndugu haha[emoji28] [emoji28] [emoji28] alipe deni la watu kukopa kachukua kimya kimya kulipa anamshitakia Mungu
maisha ni mfulululizo wa matatizo na punje punje Mdogo ndogo za Furaha.vyuma vinakaza grisi hakuna watu wanakopa bila kujali kama ana huakika wakurejesha ,zama zimebadilika,awamu ile unakopa unajua unafanya hiki Pesa irudi lakini sasa ndo hivyo .biashara haziendi.kila mahali pa moto.
Akuuuuu....! Kula alisaidiana na nanindo umsaidie kidogo watanzania sote ni ndugu haha
akikopa tena atalipa fadhila utakula naeAkuuuuu....! Kula alisaidiana na nani
Tuache kusingizia Mungu kwa uzembe wenu wenyeweHabari za jioni ndugu zangu wapendwa.