Eeh mungu baba shusha laana na gharika Kwa wafurahiao mateso ya wenye vipato duni.

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,226
Reaction score
1,757
Habari za jioni ndugu zangu wapendwa.

Ni jioni ya machungu Kwa jirani yangu muda huu anapokonywa vitanda makochi na kila kitu Kwa kushindwa marejesho ya maliyeshindwa mwezi mmoja tu.

Mvua inanyesha muda huu watoto wake wanalia huku wanadamu wenye kujali pesa wakikunja sura bila huruma wakimtesa mwanadamu mwenzao aliyeshis

Eeh mungu baba muumba wa vitu vyote shusha gharika Kwa watu wako ameen.[emoji120]
 
Kukopa harusi, kulipa matanga.....ni kauli aliyoitumia rais kuonesha kushangazwa kwake na wasiolipa madeni.
 
Habari za jioni ndugu zangu wapendwa.

Ni jioni ya machungu Kwa jirani yangu muda huu anapokonywa vitanda makochi na kila kitu Kwa kushindwa marejesho ya maliyeshindwa mwezi mmoja tu.

Mvua inanyesha muda huu watoto wake wanalia huku wanadamu wenye kujali pesa wakikunja sura bila huruma wakimtesa mwanadamu mwenzao aliyeshis

Eeh mungu baba muumba wa vitu vyote shusha gharika Kwa watu wako ameen.[emoji120]
Fanya mpango umdaie rejesho moja ndugu Mungu atakulipa
 
Siku tukitambua dhana halisi ya mkataba!tutakuwa mbali na mateso mengi.
 
Kwani si alikopa na akakubali kulipa kwa wakati na alikua anafahamu asipolipa nini kitamkuta??
 
Kutumia DAWA wakati wa kumtongoza demu DAWA ikiisha atakuandama wakopeshaji wengi hufanya kiini macho ukubaliane kirahisi bila kuhoji
 
aaah wapi!! kwani wao ndio wanakufuata uwakope au unaenda mwenyewe???
 
maisha ni mfulululizo wa matatizo na punje punje Mdogo ndogo za Furaha.vyuma vinakaza grisi hakuna watu wanakopa bila kujali kama ana huakika wakurejesha ,zama zimebadilika,awamu ile unakopa unajua unafanya hiki Pesa irudi lakini sasa ndo hivyo .biashara haziendi.kila mahali pa moto.
 
Habari za jioni ndugu zangu wapendwa.

Ni jioni ya machungu Kwa jirani yangu muda huu anapokonywa vitanda makochi na kila kitu Kwa kushindwa marejesho ya maliyeshindwa mwezi mmoja tu.

Mvua inanyesha muda huu watoto wake wanalia huku wanadamu wenye kujali pesa wakikunja sura bila huruma wakimtesa mwanadamu mwenzao aliyeshis

Eeh mungu baba muumba wa vitu vyote shusha gharika Kwa watu wako ameen.[emoji120]
Tuache kusingizia Mungu kwa uzembe wenu wenyewe
 
Back
Top Bottom