Eeh Waziri Mkuu unakua na Uchawa mpaka Msibani? Eti Rais KATOA Ndege kumsafirisha Msuya?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.

Daahhh hii mbona ni hatari sana !!

Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.

Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.

Screenshot_20250512_213303~2.jpg

Mzee Majaliwa wewe eeehh

Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
 
Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.

Daahhh hii mbona ni hatari sana !!

Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.

Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.

View attachment 3332064

Anazani ni msaada wakati ni haki ya marehemu kisheria.
Kumbuka ni mwaka wa kusaka chochote, kwa hiyo tegemea kusikia lolote. Wakimaliza kuzika utasikia mama anaupiga mwingi sana, amefanikisha maziko ya msuya kwa pesa zake za mfukoni.
 
Yaan jamaa kwenye bichwa lake anaona kabisa, Huo ni msaada ,na msaada KATOA Rais 🤣

Jamaa ndio maana kumbe anafukuzana na videmu , akili za kingongono hizi.

Huwez tegema Waziri Mkuu alopoke jambo kama hili.

Alafu watakuja wanakuambia, Heshimu Mamlaka.... Mamlaka yenye Viazi mbatata kama Hawa, unaanzaje kuwaheshimu?.
 
Ametangaza nia ya kugombea Ubunge.. Means, ana matarajio ya kuendelea kuwa Waziri Mkuu.. Means, lazima ajipendekeze ili mama asije akabadili mawazo akateua mwingine...
 
Yaan jamaa kwenye bichwa lake anaona kabisa, Huo ni msaada ,na msaada KATOA Rais 🤣

Jamaa ndio maana kumbe anafukuzana na videmu , akili za kingongono hizi.

Huwez tegema Waziri Mkuu alopoke jambo kama hili.

Alafu watakuja wanakuambia, Heshimu Mamlaka.... Mamlaka yenye Viazi mbatata kama Hawa, unaanzaje kuwaheshimu?.
Kweli Mkuu. Shingo za wanaCCM ni kama zimebeba matikiti badala ya vichwa.
 
Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.

Daahhh hii mbona ni hatari sana !!

Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.

Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.

View attachment 3332064

Mzee Majaliwa wewe eeehh

Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
watu wanatetea ugali mkuu...we boss wako umsifii??
 
Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.

Daahhh hii mbona ni hatari sana !!

Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.

Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.

View attachment 3332064

Mzee Majaliwa wewe eeehh

Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
Wameshamjua anapenda sifa. Wanaweza kumuambia hata “ahsante mama kwa mvua mwaka huu” na ataipokea kwa mikono miwili. Incredibly brainless!
 
Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.

Daahhh hii mbona ni hatari sana !!

Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.

Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.

View attachment 3332064

Mzee Majaliwa wewe eeehh

Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
Ht hicho kimekuwasha? Una kwl vipele vingi
 
Kwa nini isiwe Serikali imetoa ndege ili kuusafirisha mwili wa Waziri Mkuu mstaafu?.... Nchi imerudi nyuma miaka 58 wakati kipindi hicho chama cha TANU kikipambana kuondoa uvivu umasikini na ujinga kwa kauli mbiu ya: "Usiwe kupe, Jitegemee"
Miaka hii na awamu hii kilichotawala ni "Uchawa"kwa kwenda mbele, nahisi kila kiongozi amepewa nadhiri ya kuhakikisha katika kila hotuba anachomekea utukufu wa Rais wa sasa fundi wa kuupiga mwingi.
 
Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.

Daahhh hii mbona ni hatari sana !!

Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.

Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.

View attachment 3332064

Mzee Majaliwa wewe eeehh

Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan
 
Back
Top Bottom