Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Mkuu ni zaidi ya aibu.Aibu tunaona wananchi 🤣🤣🤣
Anazani ni msaada wakati ni haki ya marehemu kisheria.Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.
Daahhh hii mbona ni hatari sana !!
Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.
Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.
View attachment 3332064
Mzee Majaliwa wewe eeehh
Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
Yaan jamaa kwenye bichwa lake anaona kabisa, Huo ni msaada ,na msaada KATOA Rais 🤣Anazani ni msaada wakati ni haki ya marehemu kisheria.
Kumbuka ni mwaka wa kusaka chochote, kwa hiyo tegemea kusikia lolote. Wakimaliza kuzika utasikia mama anaupiga mwingi sana, amefanikisha maziko ya msuya kwa pesa zake za mfukoni.
Kweli Mkuu. Shingo za wanaCCM ni kama zimebeba matikiti badala ya vichwa.Yaan jamaa kwenye bichwa lake anaona kabisa, Huo ni msaada ,na msaada KATOA Rais 🤣
Jamaa ndio maana kumbe anafukuzana na videmu , akili za kingongono hizi.
Huwez tegema Waziri Mkuu alopoke jambo kama hili.
Alafu watakuja wanakuambia, Heshimu Mamlaka.... Mamlaka yenye Viazi mbatata kama Hawa, unaanzaje kuwaheshimu?.
watu wanatetea ugali mkuu...we boss wako umsifii??Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.
Daahhh hii mbona ni hatari sana !!
Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.
Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.
View attachment 3332064
Mzee Majaliwa wewe eeehh
Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
Wameshamjua anapenda sifa. Wanaweza kumuambia hata “ahsante mama kwa mvua mwaka huu” na ataipokea kwa mikono miwili. Incredibly brainless!Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.
Daahhh hii mbona ni hatari sana !!
Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.
Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.
View attachment 3332064
Mzee Majaliwa wewe eeehh
Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
Ht hicho kimekuwasha? Una kwl vipele vingiDuuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.
Daahhh hii mbona ni hatari sana !!
Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.
Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.
View attachment 3332064
Mzee Majaliwa wewe eeehh
Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
Huyo Jamaa ni muongo sana labda hata ushauri wake ni wa uongo mtupu.Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.
Kwa nini isiwe Serikali imetoa ndege ili kuusafirisha mwili wa Waziri Mkuu mstaafu?.... Nchi imerudi nyuma miaka 58 wakati kipindi hicho chama cha TANU kikipambana kuondoa uvivu umasikini na ujinga kwa kauli mbiu ya: "Usiwe kupe, Jitegemee"Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.
Daahhh hii mbona ni hatari sana !!
Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.
Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege au kutotoa ??.
View attachment 3332064
Mzee Majaliwa wewe eeehh
Mnafanya Rais anadhauriwa sana Kwa mambo haya !! ILINDENI BASI HATA HESHIMA YAKE KIDOGO ILOBAKIA .
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu HassanDuuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.