Naomba msaada wadau kuna ndg yangu amekua akitumia Efd machine kwa miaka mitatu... Juzi Kati machine ikapata shot na Mother board ameambiwa imekufa na suplier amedai Hana spare... Je afanye nini ? Ushauri wa suplier ni kwamba anunue nyingne but kutokana na Hali hii Hana pesa ya kununulia ...je afanye nini
Sent using
Jamii Forums mobile app