Efd. Imeharbika na supplier Hana spare

Efd. Imeharbika na supplier Hana spare

mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
1,767
Reaction score
2,855
Naomba msaada wadau kuna ndg yangu amekua akitumia Efd machine kwa miaka mitatu... Juzi Kati machine ikapata shot na Mother board ameambiwa imekufa na suplier amedai Hana spare... Je afanye nini ? Ushauri wa suplier ni kwamba anunue nyingne but kutokana na Hali hii Hana pesa ya kununulia ...je afanye nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo hatua ya kwanza ni kuandika barua kwa meneja wa TRA,kumjulisha kuwa efd imeharibika ili wamruhusu kutumia risiti za kawaida kwa muda,then lazima aitengenezeshe au anunue nyingine tu kwani watampa muda mfupi tu.na lazima abakie na nakala ya hiyo barua atakayo peleka TRA,ikiwa na muhuri wa kupokelewa kwani hua hawakawii kukataa
 
Back
Top Bottom