John Mwaisengela
Member
- May 6, 2024
- 77
- 103
Nimekuwa nasikia watu wakiongea EFD mara TRA wamepiga watu adhabu kuhusu EFD ila sina uelewa wa kutosha sababu mimi ni kweli nanunua bidhaa na kuna wakati napewa hizo risiti wanazosema za EFD na kuna wakati sipewi.
Swali langu kwa TRA na wajuzi ni wakati gani hizo risiti zinatolewa na wakati gani hazitolewi na zipi sababu zitolewe na zisitolewe.
Naomba kueleweshwa kuhusu hili.
Swali langu kwa TRA na wajuzi ni wakati gani hizo risiti zinatolewa na wakati gani hazitolewi na zipi sababu zitolewe na zisitolewe.
Naomba kueleweshwa kuhusu hili.