EFD machine niliyonunua TZS 500,000 kubadilisha printer ni TZS 142,000 siyo upigaji huu?

EFD machine niliyonunua TZS 500,000 kubadilisha printer ni TZS 142,000 siyo upigaji huu?

Nyarupala

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
676
Reaction score
1,118
TRA angalieni hawa mawakala wenu,Bei za marekebisho za machines pindi zikipata hitilafu ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zenyewe tunazofanya. Hapo pia bado gharama za uhuwishaji ambapo ni kias Cha TZS 45,000 kila mwaka.
 

Attachments

  • IMG_20250526_110231.jpg
    IMG_20250526_110231.jpg
    196.3 KB · Views: 31
Hilo mpka mtoe milio, wabunge wenu kazi kupiga meza tu hakuna hoja za msingi na kutwa kucha kuimba pambio za anaupiga mwingi😂
 
Hizi mashine ilipaswa kutolewa bure na uhuishwaji wake pia kila mwaka iwe bure,tra wanapatapesa nyingi sana hawajafikia kutuuzia hizo mashine
 
Hizi mashine ilipaswa kutolewa bure na uhuishwaji wake pia kila mwaka iwe bure,tra wanapatapesa nyingi sana hawajafikia kutuuzia hizo mashine
Hii ya printer kubadilisha kwa 142,000 haijakaa sawa kabisa
 
CHURA mwenyewe hajui kinacho endelea ktk TAIFA l Tanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom