Nyarupala JF-Expert Member Joined Jun 2, 2024 Posts 676 Reaction score 1,118 May 26, 2025 #1 TRA angalieni hawa mawakala wenu,Bei za marekebisho za machines pindi zikipata hitilafu ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zenyewe tunazofanya. Hapo pia bado gharama za uhuwishaji ambapo ni kias Cha TZS 45,000 kila mwaka. Attachments IMG_20250526_110231.jpg 196.3 KB · Views: 31
TRA angalieni hawa mawakala wenu,Bei za marekebisho za machines pindi zikipata hitilafu ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zenyewe tunazofanya. Hapo pia bado gharama za uhuwishaji ambapo ni kias Cha TZS 45,000 kila mwaka.
mjanja wa kijiji JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 1,895 Reaction score 5,048 May 26, 2025 #2 Kuhuisha nini tena? mbona nchi ina mambo ya kuchosha.
shanature JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,958 Reaction score 1,866 May 26, 2025 #3 mjanja wa kijiji said: Kuhuisha nini tena? mbona nchi ina mambo ya kuchosha. Click to expand... updation
mjanja wa kijiji said: Kuhuisha nini tena? mbona nchi ina mambo ya kuchosha. Click to expand... updation
glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,854 Reaction score 4,692 May 26, 2025 #4 mjanja wa kijiji said: Kuhuisha nini tena? mbona nchi ina mambo ya kuchosha. Click to expand... Ku update taarifa nadhani
mjanja wa kijiji said: Kuhuisha nini tena? mbona nchi ina mambo ya kuchosha. Click to expand... Ku update taarifa nadhani
glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,854 Reaction score 4,692 May 26, 2025 #5 Hilo mpka mtoe milio, wabunge wenu kazi kupiga meza tu hakuna hoja za msingi na kutwa kucha kuimba pambio za anaupiga mwingi😂
Hilo mpka mtoe milio, wabunge wenu kazi kupiga meza tu hakuna hoja za msingi na kutwa kucha kuimba pambio za anaupiga mwingi😂
The-unknown JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 1,704 Reaction score 1,984 May 26, 2025 #6 Hizi mashine ilipaswa kutolewa bure na uhuishwaji wake pia kila mwaka iwe bure,tra wanapatapesa nyingi sana hawajafikia kutuuzia hizo mashine
Hizi mashine ilipaswa kutolewa bure na uhuishwaji wake pia kila mwaka iwe bure,tra wanapatapesa nyingi sana hawajafikia kutuuzia hizo mashine
Nyarupala JF-Expert Member Joined Jun 2, 2024 Posts 676 Reaction score 1,118 May 26, 2025 Thread starter #7 The-unknown said: Hizi mashine ilipaswa kutolewa bure na uhuishwaji wake pia kila mwaka iwe bure,tra wanapatapesa nyingi sana hawajafikia kutuuzia hizo mashine Click to expand... Hii ya printer kubadilisha kwa 142,000 haijakaa sawa kabisa
The-unknown said: Hizi mashine ilipaswa kutolewa bure na uhuishwaji wake pia kila mwaka iwe bure,tra wanapatapesa nyingi sana hawajafikia kutuuzia hizo mashine Click to expand... Hii ya printer kubadilisha kwa 142,000 haijakaa sawa kabisa
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 May 26, 2025 #8 CHURA mwenyewe hajui kinacho endelea ktk TAIFA l Tanganyika. KAZI ni kipimo cha utu
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 May 26, 2025 #9 Nilishangaa kuona zinauzwa ghali kinoma duuh,
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 2,153 Reaction score 3,140 May 26, 2025 #10 Mashine ya EFD kwa wafanya biashara wadogo ni mzigo mkubwa.