Efe Ajagba: bondia aliyeshinda sekunde ya kwanza baada ya pambano kuanza

Efe Ajagba: bondia aliyeshinda sekunde ya kwanza baada ya pambano kuanza

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Efe Ajagba bndia Mnaijeria anayeishi Texas Marekani kwa sasa ni bondia aliyepata ushindi sekunde moja baada ya pambano kuanza

Ilikuwa Agosti 24, 2018 Minneapolis Marekani ambapo alikuwa anapambana na Curtis Harper kwenye uzito wa juu

Curtis Harper aliondoka uligoni mara baada ya kengele kupigwa, baadae alisema kuwa katika mgomo na waandaaji kutokana na malipo

Hivyo ushindi alipewa Efe ( by disqualification) na kuwa ni bondia aliyeshinda ndani ya muda mfupi
 
Ni sawa tu na migomo mingine
Warudishe hela za viingilio vya watu
 
Safi sana promoter na manager wakifanya utapeli hii ndiyo dawa yao.
 
Back
Top Bottom